Unyanyasaji wa Kijinsia

Nimekuandalia makala fupi kuhusu unyanyasaji wa kijinsia kwa wasichana. Mara nyingi tumekuwa tukisikia kesi mbalimbali za wanawake kunyanyaswa na waume zao, lakini je, wasichana hawakumbwi na unyanyasaji kutoka kwa wapenzi wao wakiwa kwenye mahusiano kabla ya ndoa?

Karibu usikilize makala haya yaliyoandaliwa na kusimuliwa na RIDHAA KORONGO.



Comments

Popular posts from this blog

Tuwalinde watoto wetu na madhara yatokanayo na Pempasi

Mwanamke na Uongozi