Maelfu wachaguliwa kujiunga kidato cha tano 2016
Serikali kupitia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2016.
Jumla ya wanafunzi 65,720 wakiwemo wasichana 29,457 na wavulana 36,263 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi .
Aidha ripoti hiyo iliyotolewa na Katibu Mkuu wa TAMISEMI inasema kuwa wanafunzi hao waliochaguliwa kujiunga Kidato cha Tano mwaka 2016 wataanza muhula wa kwanza tarehe 11 Julai, 2016 na hakutakuwa na mabadiliko yoyote ya shule. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti katika shule walizopangwa kwa wakati. Endapo mwanafunzi atachelewa kuripoti hadi tarehe 24 ambayo ndiyo siku ya mwisho ya kuripoti, nafasi yake itachukuliwa na mwanafunzi mwingine aliyekosa nafasi.
Kusoma majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano <<BOFYA HAPA>>

Comments
Post a Comment