WA KIMATAIFA WACHAPWA NA WAARABU
Klabu ya Dar Young Africans al maarufu wa kimataifa wenye maskani yao Jangwani jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo walivaana na Mo Bejaia ya Algeria kwenye uwanja wao wa Unite Maghribine kwa na kufungwa bao 1-0.
Goli pekee la mtanange huo lilifungwa mnamo dakika ya 20 na huku mchezaji wa yanga Mwinyi Haji akionyeshwa kadi nyekundu.
Yanga sasa wanarudi tena Antalya nchini Uturuki wakijiwinda na mechi yao dhidi ya TP MAZEMBE, mtanange utakaopigwa tarehe 28 mwezi huu uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.
Dar Young African wapo nafasi kwenye kundi lao wakiwa nafasi ya tatu huku Medeama ya Ghana ikiwa inashika mkia baada ya kufungwa bao 3-1 na TP MAZEMBE.
Comments
Post a Comment