USAJILI EPL WAPAMBA MOTO
Klabu ya soka ya Leicester city imetangaza usajili wa beki wa Sporting Gijon klabu inayokipiga ligi kuu nchini Hispania La Liga, Luis Hernandez.
Beki huyu bado ana mkataba na Gijon, mkataba unaoisha julai 1 mwaka huu, ameitumikia Sporting Gijon tangu mwaka 2012 akiisaidia klabu hiyo msimu uliopita kubaki ligi kuu La Liga.
Usajili huo unamfanya Hernandez kuwa mchezaji wa pili kusajiliwa tangu msimu kuisha, mchezaji wa kwanza akiwa Ron Robert Zieler aliyekuwa anakipiga katika klabu ya Hannover 96.

Comments
Post a Comment