BALE RAMSEY WATINGA ROBO FAINALI EURO
Robo fainali ya pili imepigwa usiku wa leo kati ya Wales na Northern Ireland katika dimba la Parc Des Princes, Wales wakipata ushindi mwembamba wa goli 1-0.
Bao hilo pekee la mchezo lilifungwa mnamo dakika ya 75 ya mchezo na Gareth McAuley likiwa ni la kujifunga, goli lililodumu mpaka kipenga cha mwisho cha mchezo.
Kwa matokeo hayo Wales wametinga robo fainali na wanamsubiria mshindi kati ya Hungary na Belgium, mtanange utakaopigwa Ijumaa hii katika dimba la Lille.

Comments
Post a Comment