FURY VS KLITSCHKO YAOTA MBAWA
Mpambano uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu kati ya Klitschko na Fury uliokuwa upiganwe mnamo tarehe 9 julai mwaka huu katika mji wa Manchester jijini London, umeghairishwa baada ya Fury kuumia kifundo cha mguu akifanya mazoezi.
Hii ni mara ya pili kukutana wanamasumbwi hawa, mara ya kwanza ikiwa ni mwezi November mwaka jana ambapo Fury alimtwanga Klitschko na kutwaa ubingwa wa uzito wa juu wa dunia.
Mwingereza Tyson fury 'THE FURIOUS ONE' amepigana mapambano 25 akishinda yote huku 18 kati ya hayo akishinda kwa KO.

Comments
Post a Comment