Wabunge wa Upinzani
Wabunge wa upinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA, tar 20 juni 2016 wametoka tena nje ya Bunge lakin leo walitoka huku wakiwa wameziba midomo
Wabunge hao wametoka nje ya Bunge wakiwa wameziba midomo kwa gundi za karatas huku wengine wakiwa wameziandika maneno mbali mbali.
Wabunge hao wanametoka nje ya bunge ili kiendelea kusisitiza kuwa hawana imani na naibu spika Dk. Tulia Ackson
Comments
Post a Comment