Raia wa Uingereza ajaribu kumuua Trump
Mgombea wa urais nchini marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump amenusurika kuuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye kampeni zake Nevada. Kijana raia wa Uingereza Michael Sandford alipokonya bunduki kutoka kwa askari wa ulinzi katika eneo la kampeni na kisha kumlenga Bwana Trump lakini hakufanikiwa.
Alipofanyiwa mahojiano na Polisi alikiri kuwa amesafiri kutoka Jimbo la Califonia mpaka Nevada kwa lengo la kumuua Bw Trump.
Michel Sandford
Alipofanyiwa mahojiano na Polisi alikiri kuwa amesafiri kutoka Jimbo la Califonia mpaka Nevada kwa lengo la kumuua Bw Trump.
Michel Sandford
Comments
Post a Comment