Tetesi Barani Ulaya
Taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya soka zinasema kuwa majogoo wa London liverpool wako kwenye mazungumzo na kampuni kutoka China iitwayo SINOFORTONE ili kuinunua timu hiyo kwa dau la paundi ml 700 kutoka kwa kwa wamiliki wa sasa FENWAY SPORTS GROUP.
Liverpool wamekanusha na kudai hawajafanya mazungumzo yoyote na wachina hao na hawana mpango wa kuuza timu hiyo. FENWAY SPORTS GROUP waliinunua liverpool mwaka 2010 kwa kiasi cha paund ml 300.
Fununu nyingine zinaeleza kua huend beki wa kati wa Liverpool Martin skrtel anaweza kuuzwa Fernebahce kwa paundi ml 5.5.
Na kwa upande wa Etihad Guardiola amesema ana mpango wa kumsajili mlinda mlango wa zamani wa Barcelona na Manchester United, Victor Valdes ambaye kwa sasa hana mkataba na timu yoyote.

Comments
Post a Comment