KLOPP AMNASA MANE
Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Southampton Sadio Mane hatimaye baada ya tetesi za muda mrefu amesaini kandarasi ya miaka 5 na majogoo wa Anfield Liverpool kwa ada ya paundi ml 34.
Mane anakuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa na Liverpool msimu huu, Klopp ameshafanya usajili wa Joel Matip na kipa Loris Karius.
Klopp ameonyesha nia ya dhati ya kuwa na safu ya ushambuliaji iliyoshiba tayari yenye majina kama Benteke, Sturridge na Origi.
Kwa usajili huu mashabiki wa Liverpool wanazidi kuwa na imani ya klabu yao kufanya vizuri msimu ujao ikikumbukwa Klopp aliifikisha fainali za Europa na Capital one cup bila usajili wowote.

Comments
Post a Comment