Heslb imetoa muongozo wa kuomba mkopo
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini imetoa kitabu cha muongozo (maelekezo) ya kuomba mkopo kwa mwaka wa masomo 2016/17. Aidha bodi hiyo imetangaza muda wa kupokea maombi ya mkopo ambayo ni kuanzia tar 27 juni mpaka tar 31 julai mwaka huu na pia lazima maombi yote yafanyike kwa njia ya mtandao kwa kupitia mfumo maalum wa maombi kwa njia ya mtandao.
Pia kwenye kitabu hiko zimetajwa kozi zenye vipaumbele na zile ambazo hazijapewa vipaumbele kwa mwaka huu.
Bonyeza hapa kwa maelezo zaidi
Bonyeza hapa ili kusoma na kudownlod kitabu cha HESLB
Pia kwenye kitabu hiko zimetajwa kozi zenye vipaumbele na zile ambazo hazijapewa vipaumbele kwa mwaka huu.
Bonyeza hapa kwa maelezo zaidi
Bonyeza hapa ili kusoma na kudownlod kitabu cha HESLB
Comments
Post a Comment