Brazil yachezea kipigo
Timu ya Taifa ya Brazil usku wa kuamkia leo ilikubali kupokea kipigo cha goli 1 kwa sufuri kutoka kwa Peru.
Peru ambayo wengi hawakuipa nafasi ya ushindi iliwaacha wabrazil vinywa wazi baada ya goli lililofungwa na mchezaji Raul Ruidiaz mnamo dakika ya 75 ya pambano hilo.
Comments
Post a Comment