EURO yafikia 16 bora

Michuano ya mataifa ya Ulaya au EURO jana imemalizika kwa hatua ya makundi na timu 16 zimefuzu kwa hatua ya mtoano. hatua hiyo ya mtoano itaanza Jumamosi ya tar 25 juni kwa mechi kadhaa kupigwa siku hiyo.
                                     Jinsi ambavyo hatua ya 16 bora mpaka fainali itakavochezwa

Comments

Popular posts from this blog

Tuwalinde watoto wetu na madhara yatokanayo na Pempasi

Mwanamke na Uongozi

Unyanyasaji wa Kijinsia