KIBARUA CHA HODGSON MASHAKANI
Kocha mkuu wa Uingereza the three Lions Roy Hodgson kibarua chake cha kuendelea kuwa mwalimu mkuu kitaota nyasi endapo hatoifikisha Uingereza nusu fainali ya mashindano ya Uero yanayoendelea nchini Ufaransa.
Kauli hiyo imetolewa na chief wa shirikisho la soka nchini Uingereza FA Greg Dyke akiongezea kwamba endapo wakitolewa hatua ya robo fainali na timu bora na wakacheza vizuri watamfikiria.
GREG DYKE
Mkataba wa Hodgson kuifundisha Uingereza unafikia tamati mwishoni wa mashindano ya UERO huku Hodgson akionyesha dhamira ya kuendelea kuwa kocha mkuu wa Uingereza.
Uingereza ipo kundi B na Mechi inayofuata ya Uingereza ni dhidi ya Slovakia Jumatatu ya 19.06.2016 ikiwa ushindi utaihakikishia Uingereza nafasi katika hatua ya 16 bora.
Uingereza wanaongoza kundi lao wakiwa na pointi 4 wakifuatiwa kwa karibu kabisa na Wales na Russia wakiwa na pointi 3 kila mmoja na Urusi ikishika mkia ikiwa na pointi 1.

Comments
Post a Comment