WIZARA YA AFYA YASITISHA HUDUMA YA CHAKULA MUHIMBILI

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesitisha zoezi la utoaji chakula kwa wagonjwa hospitali ya Taifa Muhimbili mpaka hapo serikali itakapojiridhisha faida na hasara ya zoezi hilo.
.

------------------------------
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema,

Hata hivyo nimepokea maoni mengi kutoka kwa wananchi na wadau mbalimbali kuhusiana na hatua iliyochukuliwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili, ambapo itaanzisha utaratibu utakaowezesha wagonjwa kuchangia gharama ya chakula ili chakula kiweze kuandaliwa na hospitali badala ya utaratibu wa sasa’

- Kufuatia hali hii kuleta wasiwasi kwa wananchi na wagonjwa, nimeagiza Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kusitisha utaratibu huo mpak hapo tutakapopata taarifa za kutosha kuhusu faida na hasara za utaratibu mpya unaopendekezwa’
Hii inakuja baada ya malalamiko ya baadhi ya  watu kuhusu ubora wa Huduma za vyakula hospitalini apo. 
Akiongea na jopo la waandishi wa habari Leo jijini Dar es saalam ,Waziri huyo akiweka bayana Msimamo wa Serikali juu ya tamko la chakula hosoitalini  halo.

Comments

Popular posts from this blog

Tuwalinde watoto wetu na madhara yatokanayo na Pempasi

Mwanamke na Uongozi

Unyanyasaji wa Kijinsia