CROATIA UTURUKI MATATANI EURO

Shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya UEFA limefungua hatua za kinidhamu kwa timu hizo mbili baada ya mashabiki wa Croatia kufanya fujo kwenye mechi yao dhidi ya jamhuri ya Czech hali iliyopelekea mechi hiyo kusimama dakika ya 86 ya mchezo na kuisha kwa sre ya goli 2-2.Mtanange huu ulipigwa ijumaa ya 17.06.16.
                                                    
                                   Mashabiki wa Croatia wakirusha baruti uwanjani
 Na mashabiki wa Uturuki walifanya fujo kwenye mechi yao dhidi ya hispania mechi waliyofungwa goli tatu kwa moja mechi iliyopigwa Ijumaa ya tarehe 17.06.16.

Mashindano ya Uero mwaka yamechafuliwa kwa fujo ikiwemo fujo zilizotokea kwenye mechi za awali kati ya Urusi na Uingereza.

                                                   Baruti hizo zikitolewa uwanjani

Comments

Popular posts from this blog

Tuwalinde watoto wetu na madhara yatokanayo na Pempasi

Mwanamke na Uongozi

Unyanyasaji wa Kijinsia