Tanzania yatengeneza ndege
Ni swala ambalo huenda watanzania wengi hawakua wakitarajia kuwa linaweza kutekelezeka siku za hivi karibuni lakini imewastaajabisha wengi kwa kua Tanzania imetengeneza ndege aina ya helikopta.
Habari hiyo iliyoandikwa kwenye gazeti la kingereza la Daily News zinasema kuwa Ndege hiyo ambayo inatengenezwa kwenye chuo cha teknolojia kilichopo Arusha(ATC) ipo katika hatua za mwanzoni na inatarajiwa kuwa ndege hiyo ambayo itakua na uwezo wa kubeba watu wawili itarushwa angani ifikapo mwaka 2018.

Comments
Post a Comment