Diamond Platnumz akosa tuzo aliyoshiriki BET






Macho na Maskio ya Watanzania wengi yalikua yameekea kwenye tuzo za BET 2016 zilizokua zikitolewa Usiku wa Tar 26 juni huko Los Angels nchini Marekani. Japo kulikua na vipenge vingi lakin kilichokua kikisubiriwa kwa hamu ni kile cha Best International Act ambacho Mtanzania Diamond Platnumz alikuwa akishindana na wasanii wengine kama AKA (South Africa), Wizkid (Nigeria), Serge Beynaud (Ivory Coast) MzVee (Ghana), Cassper Nyovest (South Africa),Black Coffee (South Africa) na Yemi Alade (Nigeria).
lakini kwa bahati mbaya Diamond Platnumz hakufanikiwa kupata tuzo hiyo na badala yake msanii Black Coffee kutoka South Africa ndiye aliyeshinda tuzo hiyo na kutangazwa kuwa msindi wa BET Awards Best International Act: Africa 2016.


                                                               Black Coffee

Mashabiki wengi wa muziki hasa Tanzania hawakua wakimpa nafasi kabisa msanii huyo na baadhi wanasema walikua hawamjui kabisa.                                                                                              



Comments

Popular posts from this blog

Tuwalinde watoto wetu na madhara yatokanayo na Pempasi

Mwanamke na Uongozi

Unyanyasaji wa Kijinsia