Raia wa Uingereza kupiga kura ya maoni
Leo raia wa Uingereza watapiga kura ya maoni ili kufanya maamuzi ya kubaki au kujiondoa kwenye umoja wa Ulaya (EU). Uingereza ilifikia uamuzi huo baada ya kuwa na mgogoro wa muda mrefu kutoka kwa wanasiasa wa upinzani ambao wamekuwa wakitaka Uingereza kujiondoa kwenye umoja huo. Na pia kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Waziri mkuu David Cameroon aliahidi kupigwa kwa kura hiyo wakati wa kampeni zake.
Kumekua na pande mbili ambapo upande mmoja ukitaka nchi hiyo isalie kwenye umoja huo huku upande huo wa pili ukitaka nchi hiyo kujiondoa.
Kumekua na pande mbili ambapo upande mmoja ukitaka nchi hiyo isalie kwenye umoja huo huku upande huo wa pili ukitaka nchi hiyo kujiondoa.
Comments
Post a Comment